Diamond bila shaka ni msanii anayetajika kanda ya Afika Mashariki na kiu chake hakijaishia hapo kwani bado anapania kuiteka Afrika nzima kwa ujumla.
Kwa sasa msanii huyu yuko nchini Nigeria kwa ajili ya kutoa video yake mpya ya Number One remix ambayo ameimba na msanii wa Nigeria.
Katika uonjesho wa video hio, Diamond ameweka picha moja ya video hio katika mtandao wa Instagram ikifuatiliwa na maneno haya:
“Naamini ipo siku nasi Tanzania tutasimama vyema katika ramani hii ya muziki worldwide na kuipa sifa na heshima zaidi East Africa yetu. Eeeh Mwenyezi Mungu ibariki Tanzani, ibariki East Africa na Africa yetu kwa ujumla. #LastNight #Onset #NumberOneRemix#DiamondFtDavido #ClarencePeterBehindTheCamera”
Cheki picha yenyewe hapa:

Diamond Atoa Kionjo Kwa Mafans, My Number One Remix
Reviewed by Admin
on
Sunday, November 17, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano