Uliiona video ya Lady Gaga na R. Kelly katika shoo ya Saturday Night Live(SNL) ambapo Gaga na Kelly walikuwa wakiashiria tendo la ngono?
Sasa basi hicho kilikuwa kionjo tu, tarajia mazito katika video yenyewe!
Lady Gaga katika mtandao wake wa Facebook ameweka wazi kuwa shoo ya Jumamosi katika SNL ilikuwa ni kionjo tu na watu inaonekana bado hawajajitayarisha na video yenyewe ambayo iko jikoni yapikwa.
Lady Gaga kwa sasa yuko katika kampeni ya kuuza albamu yake ya Artpop ambayo ilitoka tarehe 11 Novemba na inapatikana kwa iTunes
Album hii tayari imekuwa nambari #1 nchini Marekani na inaongoza nchi kadhaa kwa mauzo.
Lady Gaga alikuwa na haya ya kusema wakati alipokuwa akieleza kuhusu shoo iliyofanyika Jumamosi ya SNL:
"Many interviewers quelped today about my 'SHOCKING' performance w / R Kelly on SNL I'm beginning to think y'all aren't ready for the video"
Halafu aliongezea kwa maneno haya:
"I'm so happy ARTPOP debuted #1 in US and is already platinum is countries all over the world! thank u"

Lady Gaga Awaonya Mashabiki Wake Kuwa Wataona Mengi, SNL Ilikuwa Kionjo Tu!
Reviewed by Admin
on
Wednesday, November 20, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano