Unordered List

Definition List

WEMA SEPETU Arudi Kwa Mitandao Baada Ya Msiba Wa Babake, Cheki Alivyoandika Instagram

Umekuwa muda mrefu tangu msanii Wema Sepetu kuingia katika mitandao ya kijamii na kuweka mambo mapya. Lakini sahizi amepata motisha wa kuingia na kuanza tena ku update.

Katika post aliyoweka katika mtandao wa Instagram, Wema amewataka team-wema kuwa watulivu na kuacha tukoa status za matusi kwa mitandao kwani inamuumiza...,

Cheki hapa:
wema-sepetu-na-familia

WEMA SEPETU Arudi Kwa Mitandao Baada Ya Msiba Wa Babake, Cheki Alivyoandika Instagram WEMA SEPETU Arudi Kwa Mitandao Baada Ya Msiba Wa Babake, Cheki Alivyoandika Instagram Reviewed by Admin on Sunday, November 17, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.