Unordered List

Definition List

Diamond Katika Harusi Ya Peter Wa P-Squre

Diamond na Peter wa P-squre
Diamond na Peter wa P-squre
Msanii mtajika Diamond Platinumz amefuka mipaka hadi nchini Nigeria kwa ziara za kutoa video ya nyimbo ya My Number One remix.

Nchini humo alipata mualiko hususan wa kuwa katika harusi ya msanii mmoja ya p-square Peter.

Diamond inakisiwa kuwa ni mtanzania pekee aliyeweza kupewa mwaliko huo katika hio harusi.

Amevuka mipaka!!!

Katika remix hio amemuhusisha msanii Davido wa Nigeria.

Cheki hizo picha na mastar wengine kama vile Adebayo, mchezaji wa Man City


Diamond na Iyana
Akiwa na Adebayo


Diamond Katika Harusi Ya Peter Wa P-Squre Diamond Katika Harusi Ya Peter  Wa P-Squre Reviewed by Admin on Monday, November 18, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.