Unordered List

Definition List

Diamond Nusu Uchi Katika Gazeti La Vibe

Msanii Diamond Platinumz ni msanii anayejulikana East Afrika nzima na hata kama kuna watu ambao wana bifu na yeye hawatamuweza.

Katika gazeti la Vibe, msanii huyu wa nyimbo 'My Number One' ameza kupiga picha nusu uchi akiwa amevalia kaptula huku viungo vyote vya juu vya mwili vikiwa wazi. Katika Gazeti hilo Diamond Ameonyesha maungo yake yenye nguvu si haba.

Hata kama wasiokuwa mafanz wake kama kina Lulu wakimkataa, Diamond hana shida kwani yeye hupendwa na wadada wengi.

Diamond Nusu Uchi Katika Gazeti La Vibe Diamond Nusu Uchi Katika Gazeti La Vibe Reviewed by BkuHabari Admin on Sunday, November 24, 2013 Rating: 5

2 comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.