Kim Kardashian alinaswa na polisi wa barabarani baada ya kuendesha gari lake kwa mwendo wa kasi siku ya Jumanne.
Kisa na maana ya chanzo chake kushikwa ni kuwa Kim alikuwa mbioni akijaribu kukwepa kupigwa picha na mapaparazi ambao walikuwa wakimfukuza.
Tukio hili lilijiri jijini Los Angeles mida ya saa saba mchana katika barabara fulani jijini humo.
Kulingana na afisa mkuu Ming Hsu, Kim alikuwa akiendesha gari kwa kasi huku akifukuzwa na magari mengine matatu ya mapaparazi.
Baada ya Kim kusimamishwa, magari mawili ya mapaparazi yalisepa huku mmoja akabakia na kuanza kumpiga Kim picha.
Kwa kawaida Kim ni star ambaye hana matatizo yeyote ikifikia wakati wa kuchunguzwa maisha yake na mapaparazi kwani yeye ni star ambaye hulipwa kwa kila tukio analolifanya maishani mwake.
Ikizingatiwa Kim wiki iliyopita hakukuwa na habari zozote kumhusu, labda wiki inayokuja atashamiri katika mitandao.

Kim Kardashian Anaswa Na Polisi Kwa Kosa La Kupeleka Gari Kwa Kasi
Reviewed by Admin
on
Wednesday, November 13, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano