Kendell Jenner amefaulu kuajiriwa kazi. Shukurani zote kwa dhati ziende kwa picha aliyoiweka katika mtandao wa Instagram ambapo alionyesha chuchu zake.
Baada ya siku kadhaa kuweka picha hio ambayo ikiwa matiti yake yanaonekana kwa shati nyepesi aliyovalia, Kendell ameweza kupewa handisi 'contract' na kampuni ya 'The Society Management' iliyoko New York na anatarajiwa kuwa model katika kampuni hio.
Hio deal yote ilikuja kulingana na mtandao wa E! New ni kuwa mpiga picha wa Marekani, Russell James aliweza kutag kampuni hio katika picha ya Kendell.
Kendell Jenner ni dadake mdogo wa Kim Kardashian na pia ni star katika kipindi cha 'Keeping Up With The Kardashians'
Siku hizi mtindo ni kuweka picha za utupu na za kushangaza kwa mitandao ili uweze kuonekana staa. Dunia ya siku hizi yaelekea wapi?

Kendell Jenner Aajiriwa Baada Ya Kuonyesha Chuchu Zake Instagram
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Sunday, November 24, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano