Unordered List

Definition List

Diamond Atoa Ajira, Upo Tayari?!?

Uko tayari kufanya kazi na Diamond Platinumz?

Habari zisizokua za kuaminika zinaeleza kuwa msanii Diamond anatafuta watu ambao angeweza kufanya kazi nao. Haijabainika kama ni ukweli ama ni porojo lakini tayari kwa mitandao nafasi hio ya kazi ishapeperushwa.

Kazi hio si ya kumsaidia Diamond kuuza nguo bali inaonekana ni ya kurekodi video.

Wiki iliyopita P-Square walitamka kwa mahojiano ya EATV kuwa hawamfahamu msanii kwa jina Diamond wakati alipohudhuria harusi ya Peter. Nadhani Diamond anajaribu kufanya watu wasahau mikosi aliyoikumba wiki iliyopita ikiwemo kuchekwa kwa kuvalia nguo za kiajabu.

Kama unastahili kufanya kazi na Diamond, kuna anwani aliyoiachilia kwa mtandao na unahitaji kuwa na yafuatayo:

1)Uwe na Uwezo wa kutumia Camera zote Old na za kisasa....
2)Uwe na sample za kazi kadhaa ulizowai fanya... (kushoot na
Kuedit)
3)Quality ni kuanzia 1080 na kuendelea...
4)Age, kuanzia Miaka 20 hadi 35..
5)M'bunifu, Smart na uwe tayari kusafiri popote saa yoyote...

Kama unaamini unasifa hizo wasiliana nasi sasa kwa email hii diamondplatnumz@gmail.com ama kwa namba ya simu +255755700400


Diamond Atoa Ajira, Upo Tayari?!? Diamond Atoa Ajira, Upo Tayari?!? Reviewed by BkuHabari Admin on Monday, November 25, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.