Barack Obama ni rais ambaye hajawahi kuonekana kwa muda mrefu ikizingatiwa wasanii kama vile Kanye West anaweza kumnyamazisha asiongee kumhusu Kim Kardashian hadharani na rais huyo asitamke lolote.
Nchini Tanzania, msanii Vanessa Mdee anatabasamu baada ya rais huyo wa Marekani kuwa mfuasi(follower) wake katika mtandao wa Twitter.
Katika mtandao huo, Barrack Obama anakisiwa kuwa na wafuasi zaidi ya 40 million na anafuata watu laki sita pekee.
Vanessa amekuwa mtu wa kwanza nchini Bongo kuweza kufuatwa na rais huyo.
Kuonyesha furaha yake, msanii Vanessa aliweza kuingia mtandao wake wa Instagram na kuweka picha hio kudhibitisha kuwa Obama ni mfuasi wake.

Msanii Wa Kwanza Bongo Kufuatwa Na Obama Katika Mtandao Wa Twitter
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Monday, November 25, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano