Jamaa nchini Brazil afufuka baadaya kuzikwa.
Baada ya kuzikwa akiwa hai, jamaa huyu alijaribu kuokoa maisha yake kwa kufanya bidii juu chini ili kujiokoa.
Tukio hili lilimfanya mama mpita njia kutaka kujua jambo gani lilikuwa linatokea wakati huo.
Kulingana na ripoti, mama huyo alikuwa katika makaburi yaliyokuwa Sao Paulo Ferraz Vesconcelos wakati alipokuwa akisikia sauti isiokuwa ya kawaida ikitokezea kwenye makaburi.
Hapo ndipo alipokutana na jamaa ambaye alikuwa akijitetea kujaribu kujinasua kutoka kwa kaburi.
"Nilishtuka kumuona akifufuka kwani nilifahamu jamaa huyu kuwa tumemzika." mama huyo aliongea baada ya kuulizwa maswali.
Video iliomwagika kwa mtandao ikionyesha tukio zima likifanyika ambapo wasaidizi walipokuwa wakijaribu kumuokoa jamaa huyo iangalie hapa chini:

Jamaa Afufuka Baada Ya Kuzikwa Nchini Brazil (Video)
Reviewed by Admin
on
Sunday, November 10, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano