Unordered List

Definition List

Bifu La Mwana FA, AY, Na Hermy B Limeisha Rasmi

‘Friends again’, ni maneno yaliyoandikwa na Amani Joachim (Chief Operations Officers wa B’Hits), kwenye ukurasa wake wa facebook na kupost link yenye picha inayowaonesha AY, Mwana FA, na Hermy B wakiwa kwenye picha moja.

Wengine kwenye picha hiyo ni Fid Q, Carol Ndosi na Arthur.
Picha hiyo imepigwa usiku siku ya (November 29) inamuonesha Producer wa ‘Habari Ndiyo Hiyo’ Hermy B baada ya kumwagia ndoo ya maji katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.
Leo mchana Hermy B amepost picha akiwa na FA uwanja wa ndege wa J.K na kuandika ‘Bday continues’.
Bifu La Mwana FA, AY, Na Hermy B Limeisha Rasmi Bifu La Mwana FA, AY, Na Hermy B Limeisha Rasmi Reviewed by Admin on Saturday, November 30, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.