Unordered List

Definition List

PREZZO Ametisha Baada Ya Kuonyesha Bunduki Yake Ya Dhahabu

Msanii anayekumbwa na tetesi ya kuwa amekuwa maskini Mr. President aka Prezzo, ameamua kuonyesha kuwa yeye bado ni mmiliki wa game ya hip-hop nchini Kenya.

Hivi maajuzi msanii huyu anayekisiwa kuwa ni miongoni mwa wasanii tajiri Kenya alikuwa akirushiana matusi na msanii Huddah Monroe baada ya wawili hao kuachana.

Katika mtandao wake wa Instagram, Prezzo kando na kuwaonyesha kuwa yeye ana pesa na hana time ya kujihusisha na madada wakware, aliwatisha wasanii na mahasimu wake kwa kuwaonyesha bunduki yake iliyotengenezwa kwa dhahabu.

Uvumi wa kuwa yeye ameishiwa kifedha utabaki kuwa uvumi kwani Prezzo anaendelea kuogelea ndani ya dhahabu na kuishi maisha kama ya 'president'
PREZZO Ametisha Baada Ya Kuonyesha Bunduki Yake Ya Dhahabu PREZZO Ametisha Baada Ya Kuonyesha Bunduki Yake Ya Dhahabu Reviewed by Admin on Wednesday, November 27, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.