Mwanamuziki wa Hip hop, Joseph Haule 'Profesa Jay' amepata ajali ya gari baada ya kuparamia kifusi akijaribu kumkwepa mtu eneo la Kimara-Baruti, jijini Dar wakati akitoka nyumbani kwake Mbezi! Prof hajaumia sana katika ajali hiyo japo gari lake limeharibika.Tukio lote hili lilifanyika leo 11 Novemba wakati wa majira ya asubuhi.

Profesa J Akumbwa Na Ajali
Reviewed by Admin
on
Monday, November 11, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano