Wasanii wa kibongo imekuwa tabia yao ya kuonyesha maungo yao ya mwili. Hivi karibuni Anty Lulu alileta aibu baada ya kupanda kwa jukwaa na kuyaonyesha matiti yake ovyo hadharani.
Katika shoo ya bendi ya Extra Bongo, Aunty Lulu alionekana akizomewa baada ya matiti yake kuonekana hadharani.
Katika shoo io hiyo, Maimartha alivalia viatu vya kiajabu asivyovizoea ambapo ilimfanya yeye nusra angoke meno baada ya kuteguka. Ilimbidi mwezie Lulu kumnusuru kutoka kwa janga hilo.
Aunti Lulu Amnusuru Maimartha |
Wawili
hao walifika ukumbini hapo kulinadi shindano la Kigori wa Manywele
ambapo awali lilikuwa likifahamika kwa jina la Kimwana wa Mwanywele.
Maimartha Jesse Nusra Avunjike Meno, Cheki Nani Alimsaidia
Reviewed by Admin
on
Monday, November 18, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano