Unordered List

Definition List

Justin Bieber Anaswa Akiiba Baisikeli(Video)

Justin kwa mara nyingine amenaswa katika video. Hii wiki tayari kuna video Justin amenaswa katika video akiwa amelala usingizi wa pono baada ya kufanya mambo yake.

Katika video hii mpya iliyotolewa na TMZ imeonyesha Justin akifukuzwa na walinzi baada ya kuiba baisikeli.

Tukio hili lote lilitokea sehemu ya The Palm Casino Resort mwezi Septemba 14 wakati Bieber na marafiki zake walikuwa Sin City wakimuangalia rafiki yao Floyd akipigana.

Katika video hii utamuona Bieber ameingia katika sehemu ya wafanya kazi...akaona baisikeli halafu akairukia tayari kuiendesha.

Haikuwa rahisi kwani Bieber alifukuzwa na mabausa kadhaa...
Cheki video hapa:
Justin Bieber Anaswa Akiiba Baisikeli(Video) Justin Bieber Anaswa Akiiba Baisikeli(Video) Reviewed by Admin on Saturday, November 09, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.