Unordered List

Definition List

Sauti Sol Waonyesha Upendo Baada Ya Hutuma Ya Usenge

Baada ya wasanii wa Kenya Sauti Sol kuzomewa kwa mtandao kuwa wao ni masenge, waliamua kudhihirisha uzalendo wao hata kama wakenya wanawaponda kwa hutuma wanazozipinga.

Wasanii hao wa sauti ya kuvutia walianikwa na blog flani nchini Kenya kuwa wana tabia za kisenge jambo ambalo liliwaghadhabisha mashabiki wao wa Kenya na kuwatusi katika mitandao.

Sauti Sol wakishirishwa na msanii Hussein machozi wameweza kutoa nyimbo mpya ya Utapenda

Hebu usikilize hapa:
Sauti Sol Waonyesha Upendo Baada Ya Hutuma Ya Usenge Sauti Sol Waonyesha Upendo Baada Ya Hutuma Ya Usenge Reviewed by Admin on Wednesday, November 27, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.