Msanii anayejiamini kuwa ni staa wa nyimbo za rap nchini Marekani, Eminem, amezindua video yake ya nyimbo 'Rap God'.
Katika video hio ya dakika sita imejawa na picha na video za kusisimua.
Karibu na mwisho wa video hio, Eminem ameweza kuiga sehemu za biblia na kuna pahali alisema hivi:
"Why be a king, when you can be a God?" kabla hajaanguka chini kwa machovu.
Hebu Itazame hapo chini:

Why Be A King When You Can Be a God, Eminem Atoa Video Ya 'Rap God'
Reviewed by Admin
on
Thursday, November 28, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano