Huku uvumi ukiendelea kunoga kuwa Kim na Kanye wamekubaliana kufanya harusi yao hadharani na kupeperushwa katika runinga, uvumi mwingine unaendelea kuwa mkataba wa ndoa kati ya wawili hao pia umekamilika.
Katika mkataba huo kunasemakana kuwa kuna kipengele cha udanganyifu na utumiaji wa dawa za kulevya.
Halafu pia katika mkataba mwingine uliowekwa na wawili hao, Kimye, ni kuwa Kim hatadhubutu kufanya plastic surgery, yaani hatapitia upasuaji kujeuza maungo yake kwa kutumia visu.
Sijui kama Kim ataweza kukwepa kutumia kisu huku ikijulikana kuwa staa huyu alifanya upasuaji baada ya kumzaa mtoto wake North West

Kim Kardashian Hataruhusiwa Kufanya Plastic Surgery
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Tuesday, November 26, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano