Wakati Kim Alipokuwa mja mzito, wengi walimkashifu kwa kuwa na mwili usiopendeza.
Lakini sahizi ameweza kupunguza uzani wa mwili wake (kwa kudanganya?!?) na pia kuweza kupanda katika pikipiki akiwa hajavaa chochote kifuani katika video yake na Kanye West ya 'Bound 2'
Dadake Kim, Khloe alikuwa na haya ya kumuambia:
Endelea dadangu!
Katika mahojiano na Radio moja ya Australia, Khloe aliongea kuwa Kim ana mwili wa kiajabu na unazuzua na akawaponda wale wote wanaomkashifu umbo lake.
Khloe aliendelea kuongea kuwa Kim hana shida yoyote kutoa video akiwa nusu utupu kwani hio si tatizo kuu na kuwa Kim ana mwili wa kuvutia.
"Wakati Kim alipokuwa mja mzito watu walimponda na sasa umbo lake limerudi kuwa kawaida na ana haki zote za kuonyesha maungo yake" Khloe aliongezea.

"It's a major middle finger to the world, And honey, she deserves it. Her body is banging! On that motorcycle, her ta-ta's shaking!", Khloe aliongezea kuelezea kuhusu video hiyo.
Umeziona hizo picha zilizotolewa katika hio video inayomuonyesha Kim Kardashian akiwa kifua utupu kwa pikipiki?
Ingia hapa uone video ya Bound 2 ambayo ni uncensored:
Khloe Kardashian Amtetea Kim Kwa Kutoa Video Ya Uchi: Angalia Hizo Teeete!
Reviewed by Admin
on
Thursday, November 21, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano