Siku ya Jumamosi ilikuwa tata pale msanii Lady Gaga alipoingia ukumbini na kufanya shoo ya nyimbo ya 'Do What You Want'
Katika shoo ya Saturday Night Live(SNL) msanii Gaga katika video hii alikuwa mchangamfu huku akidengua viuno na kucheza akiwa sakafuni huku akiimba 'do what you want' mpaka R. Kelly alipoingia jukwaani.
Sikiliza wimbo wa R. Kelly na Justin Bieber 'PYD'
Lady Gaga anajulikana kuwa msanii asieogopa akifanya shoo naye R. Kelly anaaminika kutoacha nafasi yeyote kumponyoka.
Cheki tukio zima hapa:

LADY GAGA Na R. KELLY Wafanya Shoo Katika SNL, Imeashiria Tendo La Ngono(VIDEO)
Reviewed by Admin
on
Monday, November 18, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano