Msanii wa Kizazi Kipya Rehema Chalamila akisherehekea mwaka mmoja toka aache kutumia mihadarati katika hafla maalumu iliyoandaliwa kwa wanaopata matibabu ya kutumia madawa ya kulevya katiuka hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es salaam wikiendi ilopita.
Ujumbe hapo ukiwa "Tanzania bila madawa ya kulevya inawezekana". Ray C akiwa na wagonjwa wengine katika hafla hiyo
Ni furaha tupu kwa Ray C kuweza kutimiza mwaka bila kutumia mihadarati
Ni furaha tupu kwa Ray C kuweza kutimiza mwaka bila kutumia mihadarati
Ray C Asherehekea Mwaka Mmoja Bila Kutumia Madawa
Reviewed by Admin
on
Tuesday, November 12, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano