Star anayejulikana kwa kutoa filamu za ngono. Hana uoga wa kujionyesha mwili wake. Ni mpenzi wake Kanye West.
Lakini star huyu wa mishono mipya amekana kuwa yeye ni muumini wa kundi la Illuminati.
Lakini watu wanafikra tofauti baada ya yeye kumtumia rafiki yake salamu za Happy Birthday siku ya Jumatano.
Kim aliandika hivi:
(“Happy Birthday to my best friend... We’ve shared soooo many memories over the past years! I love you!”)
Halafu aliongezea picha ambayo inahusishwa na kundi la Illuminati
Baada ya kushambuliwa na wengi kuwa yeye ni mmoja wao, aliingia katika mtandao wa Twitter na kuandika hivi:
"What is the illuminate? A religion?… I’m a Christian. A cult?… not into that sorry!"
Kim alieleza kuwa hio picha ina jicho kwa sababu inamkumbusha yeye na rafiki yake Britt na kampuni yake kwa jina 'eye on glam' na pia inamkumbusha ushanga waliokuwa wakiuvaa wenye alama ya jicho kwa hivyo hana uhusiano wowote na kundi la Illuminati.
Kwa hivyo Kim ashakupa jibu kuwa yeye si mshirika wa Illuminati.

Kim Kardashian Asisitiza Kuwa Yeye Si Muumini Wa Illuminati
Reviewed by Admin
on
Saturday, November 09, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano