Unordered List

Definition List

DUH!!! CHEKI MTINDO MPYA WA KUWEKA MAFUTA KWA BAJAJI!!

Gari dogo aina ya bajaji ni gari linaloaminika kukwepa katika vichochoro vyembamba na pia ni gari ambalo ni rahisi kukwepa misongamano.

Lakini wakaazi wa Dar, kituo cha mafuta cha Camel kilichopo Mbezi kwa Yusufu jijini Dar es Salaam wamepata msukumo mpya wa jinsi ya kujaza mafuta katika gari hili.

Picha ya Chris Mfinanga
DUH!!! CHEKI MTINDO MPYA WA KUWEKA MAFUTA KWA BAJAJI!! DUH!!! CHEKI MTINDO MPYA WA KUWEKA MAFUTA KWA BAJAJI!! Reviewed by Admin on Monday, November 18, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.