Unordered List

Definition List

Uwanja Utakaochezewa CECAFA Uko Tayari, Ulijengwa Kwa Wiki Tano

Baada ya wiki chache za kugenja uwanja wa Kenyatta ambao uko jimbo la Machachos nchini Kenya, sasa uwanja huo ambao unapaniwa kucheza CECAFA uko tayari.

Picha za nje za uwanja huu uangalie hapa.

Uwanja huo hauwezi kulinganishwa na uwanja wa Qatar wenye umbo ya tupu ya mwanamke, lakini uko na uzuri wake ambao utafurahisha hasa kwa wale VIP.

Cheki picha ndani ya uwanja huo:

 


Sehemu ya kubadilisha nguo kwa wachezaji




Sehemu ya Control Room ambapo matokeo yote ya uwanjani yanamulikwa

Sehemu ya VIP
Uwanja Utakaochezewa CECAFA Uko Tayari, Ulijengwa Kwa Wiki Tano Uwanja Utakaochezewa CECAFA Uko Tayari, Ulijengwa Kwa Wiki Tano Reviewed by Admin on Thursday, November 28, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.