Kim Kardashian aliweza kusimamishwa na polisi baada ya kuendesha gari lake kwa mwendo wa kasi siku ya Jumanne, lakini haikuwa stori yake ya mwisho siku hio.
Kujaribu kuwazubaisha mafans wake ili kushughulika na mengine, Kim aliweza kuonyesha picha za mtoto wake kwa mara nyingine.
Katika picha alizozituma katika mtandao wa Instagram, Kim Kardashian aliweza kuweka picha mbili za mtot wake. Moja akiwa amebebwa na Fashion Designer wake na nyingine ikioyenya baby Nori akiwa peke yake.
Tazama hizi picha:
Anafanana kama Kim Mwenyewe!

Kim Kardashian Aweka Picha Mpya Za North West Kwa Instagram!!
Reviewed by Admin
on
Thursday, November 14, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano