Wengi walivyoambiwa kwamba Linex Mjeda Mzee wa Ifola amehamia kwenye Bongo Movie Hawakuamini, Huu ni ushahidi ni tosha wa
kukufanya uamini maneno hayo kwani sasa yumo katika kushoot movi moja na
mwanadada mkongwe wa fani hiyo ya filamu AUNT EZEKIEL.
Angalia baadhi ya picha za scene ya Movie hiyo:
LINEX Kufanya filamu Na Aunt Ezekiel, Cheki Picha
Reviewed by
Admin
on
Sunday, November 17, 2013
Rating:
5
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano