Unordered List

Definition List

P SQUARE KATIKA TUKIO LA LEADERS CLUB(PICHA)

p square
Wasanii wa kundi la P Square, Peter na Paul waliweza kutikisha hisia za mashabiki wao usiku wa Jumamosi ambapo walikuwa wakifanya shoo katika uwanja wa Leaders Club.

Tukio hilo lilikuwa la kufurahisha haswa wakati wimbo wa 'Onyinye' ulipopazwa hewani.

Wasanii hao waliweza kuwasili Bongo siku ya Ijumaa na kupokewa kwa furaha huku kila mtu akiazia kurusha jicho lake hata kwa dakika moja kuweza kuwaona mastaa hao.

Wiki iliyopita, msanii Peter aliweza kufanya ndoa ambapo msanii Diamond Platinumz aliweza kuhudhuria.

Harusi hio ilikuwa ya kufana lakini si kwa kila mtu kwani Diamond aliweza kuzomewa kwa nguo alizovalia.

Tukio zima la Jana usiku katika leaders Club iliweza kunaswa na mtandao maarufu wa Bongo5.

Cheki picha za matokeo yote hapa:

P SQUARE NDANI YA LEADERS CLUB
P SQUARE KATIKA TUKIO LA LEADERS CLUB(PICHA) P SQUARE KATIKA TUKIO LA LEADERS CLUB(PICHA) Reviewed by BkuHabari Admin on Sunday, November 24, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.