Tukio hili lilijiri wakati alipokuwa akipokea tuzo la MTV EMA Awards ambapo alituzwa kwa kuwa na video bora ya 'Wrecking Ball' siku ya Jumapili.
Msanii huyu wa miaka 20 alivalia vazi lenye ukumbusho wa wasanii 2pac na Biggie.
Cha kushangaza wakati alipokuwa akishukuru kupewa tuzo hilo, Miley alianza kuvuta bangi kwenye jukwaa bila woga wowote.
Unaweza pia kusoma:
Lady Gaga akiri kuwa yeye huvuta bangi
Lakini hakuna shida kwani nchi ya Uholanzi, Amstardam uvutaji wa bangi ni halali hivyo basi si jambo geni sanaa.
Tazama video ya mtukio lote hapa chini halafu usishangae vazi alilovalia:

Miley Cyrus Avuta Bangi Kwa Stage!!!
Reviewed by Admin
on
Tuesday, November 12, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano