Muigizaji wa kike maarufu wa jina la Irene Uwoya ametoa kali ya mwaka baada ya kujichora tatoo makalioni na kiunoni na kisha kujipiga picha na kuitupia mtandaoni.....
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Uwoya alizitundika picha hizo na kuwaacha mashabiki wake watiririke kwa maoni na mapendekezo kuona kama amependeza au hajapendeza.
Irene Uwoya Achora Tatoo Makalioni Na Kuziachili Kwa Instagram
Reviewed by Admin
on
Wednesday, November 20, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano