Mbaba wa miaka 40 kutoka Zimbabwe kwa ghafla alianza kuota matiti baada ya kusemakana kuiba mifugo ya wenyewe.
Wanakijiji walimtambulisha jamaa huyo kama Acry Chinhivi amepewa adhabu baada ya yakuiba ngombe za mwenyewe.
Jamaa mmoja kwa jina Hamilton akiongea na wanahabari nchini humo alisema "Kila mtu anajua kuwa Acry alimea matitit kwa sababu ya wizi wake. Wezi wana njia kadhaa za kuadhibiwa na hii ilikuwa moja yao. Mimi siwezi kumuonea huruma mtu mwizi" alisema.

Mwanamume Aota Matiti Kwa Kosa La Wizi
Reviewed by Admin
on
Friday, November 22, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano