Unordered List

Definition List

AGNESS MASOGANGE Awapa Mafans Utamu Mwingine Instagram

Haijakuwa muda mrefu tangu msanii Masogange arushe nyavu mtandaoni, yaani kupiga picha akiwa nusu uchi huku akionyesha maungo yake ambayo husisimua mtu yeyote atakayeyaona.

Wiki hii staa huyu wa utani 'Video Queen Grade One' ameweza kurusha picha nyingine kwa mtandao wake wa Instagram.

Kuweka picha za uchi wa mwili wako kwa mtandao si jambo baya ila tu usikiuke masharti kama vile mama mmoja alivyokamatwa na polisi baada ya kuweka picha za mbwa wake facebook.

Kwa madada wote nyinyi endeleeni kuweka mapicha ya uchi kwa mitandao tu mkidhania mtakuwa mastaa milele.

Cheki hapa Masogange na picha zake mpya za umbo lake:



AGNESS MASOGANGE Awapa Mafans Utamu Mwingine Instagram AGNESS MASOGANGE Awapa Mafans Utamu Mwingine Instagram Reviewed by BkuHabari Admin on Monday, November 25, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.