Wanamuziki wa kundi la P-Square Peter na Paul baada ya kutua jijini Dar
usiku wa kuamkia leo. Kushoto ni Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,
Matina Nkrulu ambao ndio wadhamini wakuu wa onesho lao ambalo
limeratibiwa na East Africa Radio na EATV.
Hapa wakifanya mahojiano na kituo cha East Africa TV ambao ndio wenyeji wao.
Mahojiano na picha za hapa na pale zikiendelea.
Vijana wakielekea kupumzika tayari kwa kazi ya kesho
(Picha na Mdimuz Blog)
P-Squre Washaingia Bongo, Cheki Tukio Zima(PICHA)
Reviewed by Admin
on
Friday, November 22, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano