Unordered List

Definition List

Wema Sepetu Achukua Hatua Ya Nusuru Kampuni Yake Kwa Kumfuta Director Wake

Wma Sepetu na Director wake Chid
Baada ya skendo kuibuka kuwa gari la mwanadada msanii Wema Sepetu limehusishwa kuwa kama danguro ambapo wanawake hutongozwa humo ndani, Wema amechukua hatua mbadala.

Kuhakikisha kuwa Wema yuko safi, ameamua kumfuta mfanyakazi huyo baada ya mitandao kadhaa kutaja jamaa huyo kwa jina Chid ambaye alikuwa ndiye Director wake, kuhusishwa kwa kutongoza wanawake wakitumia gari hilo.

Inasemekana kuwa director huyo pamoja na marafiki zake walikuwa wakitumia gari hilo kama nyavu ya kuvutia madada warembo.
Wema Sepetu Achukua Hatua Ya Nusuru Kampuni Yake Kwa Kumfuta Director Wake Wema Sepetu Achukua Hatua Ya Nusuru Kampuni Yake Kwa Kumfuta Director Wake Reviewed by BkuHabari Admin on Monday, November 25, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.