Unordered List

Definition List

Wanawake Wataka Uzao Wa Kanumba, Hakuna Mmoja Ataka Kupimwa Ukimwi

BABA wa marehemu Steven Kanumba, Charles Kusekwa amefunguka kuwa baada ya kutangaza kuwa wanawake wanaotaka uzao wake wajitokeze azae nao, wamejitokeza kumi lakini akawapa masharti, yakawashinda.

Akizungumza na mdaku ambaye aliipasha blog yetu ya bkuHabari, baba Kanumba aliweka bayana kuwa warembo hao waliojitokeza aliwapa sharti la kwenda kupima Ukimwi lakini ajabu wote waliingia mitini.

“Wamejitokeza vizuri lakini nashangaa wote wamekuwa wazito katika suala la kupima Ukimwi wameingia mitini, kama wapo wengine watakaolimudu sharti hilo, nawakaribisha,” alisema baba Kanumba.
Wanawake Wataka Uzao Wa Kanumba, Hakuna Mmoja Ataka Kupimwa Ukimwi Wanawake Wataka Uzao Wa Kanumba, Hakuna Mmoja Ataka Kupimwa Ukimwi Reviewed by Admin on Thursday, November 28, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.