TB Joshua anakisiwa kutoa utabiri usiokuwa na utata |
Mhubiri huyu pia ameongezea kuwa ameona maono kuwa kutakuwa na watu katika kilabu wakijifurahisha kabla kulepuliwa.
Mhubiri huyu ameonya kuwa utabiri huo haujalenga nchi yeyote bali unaweza kutokea katika nchi yeyote katika kanda hii.
TB Joshua ambaye anakisiwa kuwa na kiwango cha hela zaidi ya bilioni moja kulingana na BBC ni mhubiri wa Nigeria ambaye ashawahi kutabiri matukio kadhaa ambayo yaliweza kutokea.
TB Joshua anajiita mtume wa mungu ambaye ni mmiliki wa kanisa la 'The Synagogue Church of All Nation'(SCOAN). Mahubiri yake hupeperushwa kupitia runinga ya Emmanuel TV inayopatikana kwa mitandao na kwa satelllite.
Haijulikani kama tukio hiloi litakuwa la kweli au la huku ikizingatia kundi la Al Shaabab wameendelea kuleta vitisho kwa nchi za kanda ya Afrika Mashariki.
UTABIRI WA KUTISHA: Rais Mmoja Wa Afrika Mashariki Atatekwa Nyara
Reviewed by Admin
on
Tuesday, November 12, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano