Unordered List

Definition List

KIM KARDASHIAN Kifua Wazi Katika Video Mpya Ya KANYE WEST

Kanye ametoa video mpya ya nyimbo yake ya "Bound 2".

Kushangaza ni kuwa yeye na Kim hawajamaliza hata mwezi mmoja tangu Kanye amuombe Kim amuoe, washaanza vioja vya mapema.

Najua wengi wanatamani hata kwa upeo kusikia Kim ametoa video ya ngono na Kanye lakini hadi sasa utasubiri.

Lakini kabla hujasubiria video hio, Kanye tayari ashatoa video ambayo inamuonyesha Kim akiwa kifua wazi akiwa juu ya pikipiki.

Sijui Obama angesema nini wakati atakapoiona hii video huku ikizingatiwa kuwa tayari ashaonywa na Kanye kuwa asidhubutu kamwe kutaja jina la Kim Kardashian mahala popote.



Cheki video hapa:
KIM KARDASHIAN Kifua Wazi Katika Video Mpya Ya KANYE WEST KIM KARDASHIAN Kifua Wazi Katika Video Mpya Ya KANYE WEST Reviewed by Admin on Wednesday, November 20, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.