Mafans wa Bieber mpo!!
Kwa muda mrefu sasa Justin Bieber amekuwa akiwatuza mafans wake wa dhati na nyimbo moja kila wiki na pia kugusia trailer ya video yake filamu mpya kila uchao.
Hivi sasa trailer ya filamu yake ya Believe imezinduliwa rasmi.
Icheki video hapa:

Usikose kupitia hapa kila siku ya Jumatatu kusikiliza nyimbo mpya ya Justin Bieber
Trailer Ya Believe Justin Bieber Yazinduliwa(Video)
Reviewed by Admin
on
Sunday, November 17, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano