Unordered List

Definition List

KIDIS The Jembes, Msanii Wa Mombasani Ni Illuminati

Imechipuka kuwa msanii wa nyimbo Kamua Leo ni muumini wa Illuminati.

KIDIS ambaye aliingia katika game miaka miwili iliyopita sasa anaendesha magari makubwa kama vile Range Rover huku ikizingatiwa ni nyimbo moja pekee yake ambayo ndiyo inayojulikana.

Kulingana na mtandao wa Nairobi Exposed, mwandani wa msanii huyu ameamua kumuanika hadharani kuwa msanii huyu ni muumini wa kundi hilo la kishetani.

Nchini Kenya wasanii wengi wamehusishwa kuwa waumini wa Illuminati ikiwemo msanii machachari Octoppizzo ambaye haogopi kutoa video ambazo zinaashiria mambo ya kishetani.

Kulingana na barua pepe iliyotumwa kisiri na rafiki yake wa ndani Chidis, imesemekana kuwa msanii huyo anatumia pindi(charms) kila mahali anapoenda ikiwemo wakati anapofanya shoo.

Barua hio ilieleza kuwa Chidis katika picha zake zote ashawahi kupiga utamuona amevalia bandi nyeusi katika mkono wake wa kushoto, hiko kinakisiwa kuwa chombo cha kishetani.

Kwa muda mfupi msanii huyu ameweza kupewa kadharasi ya haraka na kampuni ya maziwa ya Brookside kuashiria kuwa msanii huyu ana kipawa cha majini cha kuzuzua watu.

Soma hio barua iliyotumwa kwa mtandao wa NairobiExposed:

"I hope that part of hiding my ID is done with because i'm sure Nairobi Exposed is professional enough to protect it's sources,it is not like im hiding but just don't want any drama but to let Kenya know the bare truth. Me and Kidis go long way back and he knows my secrets just as much as I know his secrets. Over the past two years he has magically become a big star. No problem but my issue here is how did he manage to do so even after struggling for years here in Mombasa he couldn't make it.
He got signed to Grandpa records and did Kamua Leo remix,then others,he even got endorsements by Brookside,how,by luck? I'll prove you wrong. It is said that he even bought a new car though I can't verify this but his life has changed completely.
He is working on a new song i'm told he is shooting the video this week.,good for him.
Now to the little secret that he won't let you Kenyans and you Nairobi Exposed can investigate and verify is the devil power. Kidis was introduced to illuminati by a white friend an Italian who persuaded him and a couple of coast artists to join and sell their souls if they wanted to bw famous.
They were given different power ornaments,if you look at all photos and if you meet this Kidis guy you'll notice a certain black leather band on his left hand,he never goes out without it,that's his power charm.
My concern is he might be influencing others with this satanic power,most of us here have decided to wait for God's time to finally hit and not use the satan's shortcut"
KIDIS The Jembes, Msanii Wa Mombasani Ni Illuminati KIDIS The Jembes, Msanii Wa Mombasani Ni Illuminati Reviewed by BkuHabari Admin on Tuesday, November 26, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.