Unordered List

Definition List

Huddah Amdiss Prezzo Kwa Instagram

Huddah Monroe na Prezzo
Baada ya Prezzo kumdiss Hudda Monroe katika mitandao na magazetini, Huddah naye amerudisha makali yake.

Prezzo alidai kuwa Huddah ni kitu cha kuchezea na hana maana yeyote. Pia inadaiwa kuwa Prezzo alisema kuwa ameshawahi kumla mara nyingi na kuwa ni ovyo kabisa.

Kwa Huddah kumrudishia, cheki hapa alivyomuandikia:

Huddah Amdiss Prezzo Kwa Instagram Huddah Amdiss Prezzo Kwa Instagram Reviewed by Admin on Monday, November 18, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.