Mwanadada mwanamziki alienzisha neno #Team ameangushia makali mheshimiwa January Makamba baada ya kuweka post ya Twitter ambayo ilikuwa inaeleza kuhusu kupromote wasanii wa Tanzania badala ya wasanii wa nchi za nje.
Katika post yake, mhe. Makamba alikuwa anaupinga ujio wa wanamziki P Square ambao waliweza kufanya shoo ya kutisha pale Leaders Club.
Makamba aliandika hivi kwa post yake:
Katika post yake, mhe. Makamba alikuwa anaupinga ujio wa wanamziki P Square ambao waliweza kufanya shoo ya kutisha pale Leaders Club.
Makamba aliandika hivi kwa post yake:
"Mashindano kuleta wasanii kutoka nje mazuri, lakini mashindano bora zaidi ni kupromote wasanii nchini nao washabikiwe nchi za nje"
Lady Jay Dee Team Anaconda alimrushia hivi:
Ushauri huo ungewapa kwanza washkaji wako wa fursa tangu zamani leo tungekuwa mbali. Kuutoa baada ya shoo ya jana kunadhihirisha upande wako
Lady Jay Dee Amponda January Makamba
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Monday, November 25, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano