ONYO KWA WASOMAJI: Usijaribu kuiga chochote utakachokiona hapa mahala popote.
Katika video mpya ambayo mwigizaji mkongwe Jean Claude Van Damme ametoa ili kwa mauzo ya kibiashara ya kampuni ya gari aina ya Volvo, ameonyeshwa star huyu akiongea bila wasiwasi na kamera.
Katika video hii inaanza kuonyesha sura ya Van Damme halafu baadaye utagundua kuwa ameweka miguu yake miwili katika magari mawili tofauti...halafu gari zote mbili zitaanza kusongea kwa upande huku tukimuona Van Damme akipanuliwa miguu yake na magari hayo kadri yanavyosongea.
Hebu mtazame nyota huyu wa miaka 56 akiwa ametulia kabisa huku miguu yake ikugawanywa hata kuliko ile ya Kim Kardashian katika filamu yake ya ngono. Van Damme ametisha!!!
Cheki video hapa chini:

AMETISHA!!! VAN DAMME APIGA 180 JUU YA MAGARI(VIDEO)
Reviewed by Admin
on
Friday, November 15, 2013
Rating:
Balaa hii...huku nikujitakia kifo
ReplyDelete