Mwanadada Snura anayejulikana kwa kuzuzua wanaume kwa maungo yake amekumbwa na majanga.
Staa huyo ambaye kila msanii anatamani kuonekana katika shoo yake amepata msiba baada ya kufiwa na kakake.
Katka mtandao wake wa Facebook, mwanadada yuhu aliandika hivi:
R.i.p my brother mbele yako nyuma yetu.
Msiba uko Mlandizi tunazika leo saa 10, Kaka Yusuph Mushi ni wa kwanza kuzaliwa kwa baba yangu mzee Mushi....
Hapa bkuHABARI tumesikitishwa na msiba huo.
MUNGU AMREHEMU

SNURA Ampoteza Nduguye
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Monday, November 25, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano