Unordered List

Definition List

Kim Kardashian Na Kanye West Kutoa Filamu, Si Ya Ngono!!

Kwa Mara nyingine Kim Kardashian anatarajiwa kuonyesha video yake na mpenziwe wakionyeshana mahaba katika filamu ambayo itawazuzua mafans wake ulimwenguni mzima.

Lakini haitakuwa vile unavyotarajia wewe  kumuona Kim katika video ya ngono bali itakuwa ni filamu ya harusi yake na Kanye West. Si vibaya! Jitayarishe kuona filamu ya pili ya harusi ya Kim kuonyeshwa kwa runinga.

Tetesi kuwa ndoa ya Kim na Kanye haitafana hio bado haina uhakika.

Kulingana na mtandao wa Us Weekly, Kim na Kanye wanafanya mashauri kuhusu filamu hio yao ya harusi.

Kimye pia wameweka masharti.

Kama wameamua kutoa filamu ya harusi yao, basi watapiga video wao wenyewe na hakuna wapiga picha wa runinga wewote watakao husiswa. Halafu wataiuza kwa vyombo vya habari.

Mwaka wa 2011, Kim alipoolewa na Kris Humphries, ilionyeshwa kwa televisheni ambapo iliuzwa kwa gharama ya $17 million.

Baada ya siku 72, Kim aliitisha talaka.

Sasa hii filamu ya ndoa ya Kim na Kanye hatujui itauzwa kwa dola ngapi, ni kuangalia tu!




Kim Kardashian Na Kanye West Kutoa Filamu, Si Ya Ngono!! Kim Kardashian Na Kanye West Kutoa Filamu, Si Ya Ngono!! Reviewed by BkuHabari Admin on Monday, November 25, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.