Miley Cyrus siku ya Jumapili 10 Novemba ametarajiwa kupafomu katika MTV European Music Awards.
Lakini kabla kupanda kwa jukwaa lazima ajisafishe na sura mbaya aliyoiweka kwa mafans wake ulimwenguni mzima.
Katika mtandao wa Instagram, msanii huyu wa nyimbo 'Wrecking ball' leo ameamua kujipiga picha akiwa akioga na kufunga nywele zake mafundo mawili na kuweka maandishi haya:
"I got that showe time showerrrrr time selfiiiie.(A la lana del ray) #happyemas.
Kwa mtizamo utajua Mily Cyrus ameamua kubadili mwenendo wake.
Waikumbuka ile siku Miley alipoweka picha za chuchu zake mtandaoni?
Ama ile video yake alipokuwa uchi ya Wrecking ball?
Ni kweli Miley mawazo yake makuu ni kufanya shoo yake muhimu ambayo itafanyika Amstardam

Miley Cyrus Ajipiga Picha Akiwa Akioga
Reviewed by Admin
on
Sunday, November 10, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano