Unordered List

Definition List

Lulu Akataa Mshiko Wa Diamond

Lulu
Baada ya Diamond kuzomewa kwa kuvalia nguo za kuchekesha, sasa habari zinaebuka kuwa Diamond azimwa moto kwa kutaka kumchumbia Lulu Michael.

Mwanadada huyo ambaye ametajwa kuwa miongoni kwa wanawake warembo Afrika ameka wazi kuwa Diamond hana hadhi ya kutembea na mtu kama yeye.

Inakisiwa staa huyu wa kibongo ambaye anasifika kwa nyimbo ya Number One, Diamond Platinumz, alipata kipigo kikuu baada ya Lulu kukataa ofa ambayo Diamond alimuachia ya gari aina ya Nissan Murrano yenye thamani ya 60milioni.

Habari za chini zinaeleza kuwa Diamond angependa sana kuonekana na Lulu kwani ni mwanadada ambaye ameweza kuiteka bongo movies kwa vishindo.


Baadhi ya watu wameonyesha kushangazwa sana na msimamo mkali wa binti huyo, kwa kuwa waliamini hakuna staa yeyote bongo mwenye ubavu wa kupindua kwa Diamond, kama ilivyokuwa kwa Wema, Jokate,Aunt, Wolper na baadhi ya mastaa ambao dogo huyo aliwamega kiulaini. Watu wanahaha kumjua mwanaume anayempa jeuri Lulu hadi kufikia hatua ya kuchomoa kwa Diamond..
Lulu Akataa Mshiko Wa Diamond Lulu Akataa Mshiko Wa Diamond Reviewed by BkuHabari Admin on Saturday, November 23, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.