Wimbo wa Shaa Sugua Gaga uliogonga vichwa vya mitandao na blogu wiki mbili zilizopita umepigwa marufuku na mtandao wa YouTube.
Wimbo huo ulioangaliwa zaidi ya mara 20,000 kwa siku tatu ulikuwa wimbo wa kwanza nchini Tanzania kuweka historia kuwa wimbo wa kwanza kuangaliwa zaidi kwa muda mfupi.
Akiongea na EATV wiki mbili zilizopita, msanii Shaa alikuwa na matumaini wimbo wake huo utaweka rekodi ya juu zaidi kutazamwa lakini ndoto hiyo imekatizwa kighafla.
Kulingana na YouTube, inakisiwa wimbo huo ulikiuka masharti na matumizi ya mtandao huo hivyo basi ukapigwa marufuku bila pingamizi.
Hii imekuwa pigo kuu kwa msanii huyu anayeinukia kwa mziki kwani wimbo huo ulikuwa umewaridhisha wengi na haukuwa na 'dislike' hata moja katika Youtube.
Hata hivyo kuvunjikwa kwa jembe sio mwisho wa ukulima, video nyingine imeweza kuwekwa kwa mtandao uo huo wa YouTube ili kuwapa nafasi wale ambao hawajapata nafasi ya kuutizama...
Cheki video hapa:

Wimbo Wa Shaa Sugua Gaga Wapigwa Marufuku Na Mtandao Wa YouTube
Reviewed by Admin
on
Thursday, November 14, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano