Najua kila mtu ana ufahamu wa kuwa mwaka wa 2022 kombe la dunia litafanywa nchini Qatar, lakini najua hufahamu viwanja ambavyo vinaendelea kujengwa huko.
Kuhakikisha kuwa nchi hio itakuwa na kombe la dunia ambalo halitasahaulika, Qatar wameamua kujenga viwanja ambavyo vinamsisimko wa aina yake, moja wapo ni kujenga kiwanja ambacho kinafanana na tupu ya mwanamke.
Uwanja wa Al Wakrah ambao utagharimu takribani dola umetengenezwa kwa umbo na tupu ya mwanamke.
Nchi ya Qatar inajulikana kuwa nchi yenye joto jingi lakina wakati utakapokuwa humo ndani utaweza kupulizwa vizuri na upepo wa humo ndani, yaani ndani ya huo uwanja mtakuwa na kibaridi kizuri kinachotokana na air conditions zake.
Qatar wanafanya juu chini kuhakikisha mchezo wa kombe hilo utakuwa wa kustaajabisha.

Uwanja Wa Kwanza Wenye Umbo La Tupu Ya Mwanamke Qatar
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Sunday, November 24, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano