Kanye West msanii matata amwambia rais Obama anyamaze kuhusu maisha ya Kim.
Kanye leo alikuwa katika kituo cha redio cha Philadelphia na issue kuu alikuwa akiongea kumhusu rais Obama.
Inajulikana mwanzo kuwa Obama ashawahi kumuita Kanye 'Jackass' yaani mtu mkumbavu, halafu pia inajulikana kuna wakati Obama alisema kuwa Kim Kardashian ni msanii ambaye anaharibu picha kwa waamerika.
Mwanahabari aliyekuwa akimhoji Kanye alitaka kujua kama Kanye na Obama wanaweza kuelewana.
Kanye alikuwa na maneno haya ya kuongea:
"I don't care if someone's the president or not. I care about thoughts and how you helping people and what you bring to the world. My music brings joy to people. What I create brings joy to people. Me, I'm not about me. I'm about I've got an idea that people are going to like.
"Don't you get frustrated around Christmas time dealing with clothing? Don't you get frustrated with so many things? That's Steve Jobs made things easier for people in life."
Right. Yes. Of course. Sure, 'Ye.
Kumalizia Kanye alisema alimwambia Obama asishughulike kabisa na familia yake na anapaswa kunyamaza:
"Obama shouldn’t mention my baby mama’s name 'cause we both from Chicago'. That’s out my thoughts. That’s lower on my priority of thinking at this point.”"
Kanye leo alikuwa katika kituo cha redio cha Philadelphia na issue kuu alikuwa akiongea kumhusu rais Obama.
Inajulikana mwanzo kuwa Obama ashawahi kumuita Kanye 'Jackass' yaani mtu mkumbavu, halafu pia inajulikana kuna wakati Obama alisema kuwa Kim Kardashian ni msanii ambaye anaharibu picha kwa waamerika.
Mwanahabari aliyekuwa akimhoji Kanye alitaka kujua kama Kanye na Obama wanaweza kuelewana.
Kanye alikuwa na maneno haya ya kuongea:
"Don't you get frustrated around Christmas time dealing with clothing? Don't you get frustrated with so many things? That's Steve Jobs made things easier for people in life."
Right. Yes. Of course. Sure, 'Ye.
Kumalizia Kanye alisema alimwambia Obama asishughulike kabisa na familia yake na anapaswa kunyamaza:
"Obama shouldn’t mention my baby mama’s name 'cause we both from Chicago'. That’s out my thoughts. That’s lower on my priority of thinking at this point.”"
Kanye West Kwa Obama: NYAMAZA KUHUSU KIM KARDASHIAN!!!
Reviewed by Admin
on
Tuesday, November 19, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano