Unordered List

Definition List

Full Video: Dadake Beyonce Akimshambulia Jay Z

TMZ imetoa full video ikionyesha dadake Beyonce, Solange Knowles akimvamia Jay Z katika lift.

Songale Knowles
Kama ilivyoripotiwa, tukio zima lilitokea siku ya Mei 5.Beyonce na Jay Z walikuwa wakijiienjoy katika red carpet kabla baadae Solange kumvamia Jay Z.

Katika video hii, Songale ameonyeshwa akimpiga magumi na mateke Jay Z. Pia alifika kiwango cha kumpiga na mkoba wake.

Hadi sahizi haijulikani kisa na maana kwa mwanadada huyu kufanya hicho kitendo.

Cheki full video:



Full Video: Dadake Beyonce Akimshambulia Jay Z Full Video: Dadake Beyonce Akimshambulia Jay Z Reviewed by BkuHabari Admin on Tuesday, May 13, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.