Unordered List

Definition List

Shangwe Somalia Baada Ya Al Shaabab Kutikisa Kenya

Picha zinazotufikia katika blog yetu inaashiria kuwa Somalia bado hawatoacha kuzua hofu ulimwenguni. Picha hizi zilizo na mabango yakiandika kuwa Kenya Itajitweka hukumu ya kila muislamu atayeuliwa na Jeshi la KDF.


Al Shaabab ni kundi la kigaidi ambalo kwa sasa linauma kichwa usalama wa kimataifa.

Kundi hili limeapa kutisha na kuvuruga amani kwa nchi zote ambazo zimeingia nchi yao
kwa niaba ya kuleta amani.

"For every muslim killed in Somalia, Kenya will pay the price." bango moja lililobebwa na raia wa Somalia lilikuwa limeandikwa.

Tukio hili lilifanyika jumanne wakati walipokuwa wakisherehekea sikuu kuu ya Eid ul Adh'ha mjini Burawa, Somalia.


Hivi maajuzi Al Shaabab ilishabulia nchi ya Kenya na kusababisha vita vya watu zaidi ya Sabini.
Shangwe Somalia Baada Ya Al Shaabab Kutikisa Kenya Shangwe Somalia Baada Ya Al Shaabab Kutikisa Kenya Reviewed by Admin on Monday, October 21, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.